Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mda mrefu umepita toka nikusudie ku post hili.
aliyeandika hili bango pale sabasaba ni nani.
badala ya maonesho kaweka maonyesho.
pamoja na kutanpaza biashara pia tumetangazia dunia hatupo serious na kiswahili
mbona hueleweki au ni mi' nimeamka mapema!!?
kuonyesha = kuonya
kuonesha = kuona.
kilwa road kwenye maonesho ya 37 ya biashara wameandika maonyesho badala ya maonesho.
umeelewa?
au kweli we umeamka mapema