Maonyesho ya 77 yamefanikisha Tanzania kutia saini mikataba 19

Maonyesho ya 77 yamefanikisha Tanzania kutia saini mikataba 19

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.

Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.

Viwanda hivyo vitazalisha ajira 500,000 ambapo 100,000 ajira za moja kwa moja na 400,000 za muda.
 
... kumbe mwaka huu kulikuwa na 77? Maana tulizoea kuona yakifunguliwa na rais wa nchi ya kigeni; au na wao wameanza kutoyatilia maanani?
 
... kumbe mwaka huu kulikuwa na 77? Maana tulizoea kuona yakifunguliwa na rais wa nchi ya kigeni; au na wao wameanza kutoyatilia maanani?
Kila awamu na utaratibu wake, Hakuna Rais aliyekuja lakini wawakilishi wake wamekuja na wengie wameahidi kuwekeza nchi kwani Rais Samia amewahakikishia usalama na mazingira mazuri ya uwekezaji.
 
..sisi tumewekeza kununua midege toka kwenye viwanda vya mabeberu.

..halafu tunakwenda kuomba-omba kwa wachina, waturuki, waje kuwekeza kwenye sekta ya viwanda hapa Tz.
 
Joka kuu una akili nyingi pia u mzalendo

Hapana kaka.

Namba hazidanganyi.

.Wewe piga mahesabu ya fedha zilizotumika kununua midege.

Ongeza na hasara ya atcl kila mwaka.

Halafu angalia thamani ya miradi ya wawekezaji wa viwanda au kilimo.

Sijasikia aliyewekeza kwa kiwango kinachozidi fedha tulizonunulia ndege.

Yaani fedha tulizowekeza na ajira tulizotengeneza kwenye viwanda vya mabeberu.

Hata kiwanda cha Dangote sidhani kama kimezidi fedha za manunuzi ya midege.
 
..hapana kaka.

..namba hazidanganyi.

..wewe piga mahesabu ya fedha zilizotumika kununua midege.

..ongeza na hasara ya atcl kila mwaka.

..halafu angalia thamani ya miradi ya wawekezaji wa viwanda au kilimo.

..sijasikia aliyewekeza kwa kiwango kinachozidi fedha tulizonunulia ndege.

..Yaani fedha tulizowekeza na ajira tulizotengeneza kwenye viwanda vya mabeberu.

..Hata kiwanda cha Dangote sidhani kama kimezidi fedha za manunuzi ya midege.
Kuna fyuzi kichwani mwako haipo sawa. Nakupuuza
 
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.

Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.

Viwanda hivyo vitazalisha ajira 500,000 ambapo 100,000 ajira za moja kwa moja na 400,000 za muda.

Serikali ifanye juu chini kuongeza umeme na kupunguza gharama za umeme. Pili mikakati ya kilimo iende kwa kasi zaidi na vijana wawezeshwe kurudi kwenye kilimo. Tatau wabadilishe Gavana wa bank kuu ili aje mwingine ambaye atasaidia kupunguza riba za mikopo.
 
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.

Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.

Viwanda hivyo vitazalisha ajira 500,000 ambapo 100,000 ajira za moja kwa moja na 400,000 za muda.
Hizi figures unaziokota anga hipi?
 
Back
Top Bottom