Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Kila awamu na utaratibu wake, Hakuna Rais aliyekuja lakini wawakilishi wake wamekuja na wengie wameahidi kuwekeza nchi kwani Rais Samia amewahakikishia usalama na mazingira mazuri ya uwekezaji.... kumbe mwaka huu kulikuwa na 77? Maana tulizoea kuona yakifunguliwa na rais wa nchi ya kigeni; au na wao wameanza kutoyatilia maanani?
Sio kweliTumewamilikisha Wachina viwanda
Joka kuu una akili nyingi pia u mzalendo
Kuna fyuzi kichwani mwako haipo sawa. Nakupuuza..hapana kaka.
..namba hazidanganyi.
..wewe piga mahesabu ya fedha zilizotumika kununua midege.
..ongeza na hasara ya atcl kila mwaka.
..halafu angalia thamani ya miradi ya wawekezaji wa viwanda au kilimo.
..sijasikia aliyewekeza kwa kiwango kinachozidi fedha tulizonunulia ndege.
..Yaani fedha tulizowekeza na ajira tulizotengeneza kwenye viwanda vya mabeberu.
..Hata kiwanda cha Dangote sidhani kama kimezidi fedha za manunuzi ya midege.
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.
Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.
Viwanda hivyo vitazalisha ajira 500,000 ambapo 100,000 ajira za moja kwa moja na 400,000 za muda.
Hizi figures unaziokota anga hipi?Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.
Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.
Viwanda hivyo vitazalisha ajira 500,000 ambapo 100,000 ajira za moja kwa moja na 400,000 za muda.
Umewasahau wazee wa kuogeza figures ili waonekane wachapa kazi kumbe makanjanja tu.Hizi figures unaziokota anga hipi?