Maonyesho ya Biashara ya Ingetrex Kesho Diamond

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Kesho kunafanyika Maonyesho makubwa ya biashara yaitwayo Ingetrex yatafanyika kesho katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

Kuhusu maonyesho hayo angalia TBC asubuhi hii ya saa 12:30 asubuhi hii ambapo Mtaalam wa Biashara toka, Nigeria Bw. Ayodeji Paul atazungumzia maonyesho hayo.

Pascal
 
Wana bidhaa za maana isije ikawa tunakuja huko alaf hamna jipya. Naona wanajiandaa mapema saba saba inakuja.
 
Wanabodi,

Kesho kunafanyika Maonyesho makubwa ya biashara yaitwayo Ingetrex yatafanyika kesho katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

Kuhusu maonyesho hayo angalia TBC asubuhi hii ya saa 12:30 asubuhi hii ambapo Mtaalam wa Biashara toka, Nigeria Bw. Ayodeji Paul atazungumzia maonyesho hayo.

Pascal

Mkuu umepata deal la kutangaza tena nini? Karibia yale mambo yako yanakuja, hii bidhaa imetengenezwa hapa hapa Tanzania? Pascal bwana!! Ingetrex wenyewe wana bidhaa kutoka nchi gani?
 
Back
Top Bottom