Wanabodi,
Kesho kunafanyika Maonyesho makubwa ya biashara yaitwayo Ingetrex yatafanyika kesho katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Kuhusu maonyesho hayo angalia TBC asubuhi hii ya saa 12:30 asubuhi hii ambapo Mtaalam wa Biashara toka, Nigeria Bw. Ayodeji Paul atazungumzia maonyesho hayo.
Pascal