Maonyesho ya IBEF Saba Saba!!!

Maonyesho ya IBEF Saba Saba!!!

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
12,958
Reaction score
9,516
Leo nilikuwa kwenye Viwanja vya 7 7 kwenye maonyesho ya Bidhaa za INDIA maKAMPUNI mengi mapya yamekuja kwa mara ya kwanza kutambulisha Product hata Ofisi hawana Inaonekana hapa kwetu kuna SOKO kubwa sana Manake walianza SYRIA miaka ya nyuma waCHINA wakashtukia nao Mwaka huu wameanza wamefanyia DIAMOND JBLEE sasa waHINDI nao wamekuja Hiv cc tunashindwa nn kwenda NJE ya NCHI nacc kuwa na Maonyesho yetu? Nikweli hatuna chakuonyesha huko? Napata shida sana!
 
Mzee hizo ndio fursa zenyewe. Litazame hilo kwa mtazamo chanya, angalia nini kinaweza kukufaa, ibua fursa, tekeleza - songa mbele. Usiulize ulize, wenzio watachangamkia.
 
Back
Top Bottom