Leo nilikuwa kwenye Viwanja vya 7 7 kwenye maonyesho ya Bidhaa za INDIA maKAMPUNI mengi mapya yamekuja kwa mara ya kwanza kutambulisha Product hata Ofisi hawana Inaonekana hapa kwetu kuna SOKO kubwa sana Manake walianza SYRIA miaka ya nyuma waCHINA wakashtukia nao Mwaka huu wameanza wamefanyia DIAMOND JBLEE sasa waHINDI nao wamekuja Hiv cc tunashindwa nn kwenda NJE ya NCHI nacc kuwa na Maonyesho yetu? Nikweli hatuna chakuonyesha huko? Napata shida sana!