B Bonge JF-Expert Member Joined Aug 29, 2007 Posts 1,120 Reaction score 877 Sep 23, 2018 #1 Mwaka huu 2018, hakuna mtu au kikundi waliopanga kwenda kwenye maonyesho ya kimataifa ya kilimo Nairobi?
Mwaka huu 2018, hakuna mtu au kikundi waliopanga kwenda kwenye maonyesho ya kimataifa ya kilimo Nairobi?
M mzeemzima Senior Member Joined Apr 14, 2010 Posts 123 Reaction score 78 Sep 24, 2018 #2 Bonge said: Mwaka huu 2018, hakuna mtu au kikundi waliopanga kwenda kwenye maonyesho ya kimataifa ya kilimo Nairobi? Click to expand... LInafanyika lini mkuu ? naomba share tarehe na link yoyote ili tuweze kupitia zaidi?
Bonge said: Mwaka huu 2018, hakuna mtu au kikundi waliopanga kwenda kwenye maonyesho ya kimataifa ya kilimo Nairobi? Click to expand... LInafanyika lini mkuu ? naomba share tarehe na link yoyote ili tuweze kupitia zaidi?
B Bonge JF-Expert Member Joined Aug 29, 2007 Posts 1,120 Reaction score 877 Sep 24, 2018 Thread starter #3 1 - 7 october, 2018, Nairobi, Kenya.
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Sep 26, 2018 #4 Naenda mimi naondokea Arusha naenda na kurudi silali. Kuhusu watu kwenda usitegemee kabisa kabisa.
Jenseny JF-Expert Member Joined Jan 26, 2011 Posts 1,743 Reaction score 1,738 Sep 29, 2018 #5 CHASHA FARMING said: Naenda mimi naondokea Arusha naenda na kurudi silali. Kuhusu watu kwenda usitegemee kabisa kabisa. Click to expand... kaka huna namba yadalali wa tkit nairobi
CHASHA FARMING said: Naenda mimi naondokea Arusha naenda na kurudi silali. Kuhusu watu kwenda usitegemee kabisa kabisa. Click to expand... kaka huna namba yadalali wa tkit nairobi