Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nairobi Kenya 29-5 october.

Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nairobi Kenya 29-5 october.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wakuu heshima,
Kunazia wiki ijayo Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo yanaaza jijini Nairobi, kwa kweli haya ni moja ya maonyesho ambayo si ya kukosa kabisa, ni moja ya maonyesho yenye mvuto wa kipekee last time nilitembelea, Ni moja ya maonyesho bora kabisa na waandaji wetu some time wanaweza enda kujifunza vitu kule na sio Maonyesho yetu ya kilimo huku Bongo mara ukute promotion za mitungi ya Gas, au ukuta sijui maonyesho ya Sarakasi mabo ya ajabu sana.

Kwa walio Mikoa kama Arusha na Kilimajaro ni rahisi kwa sbabau unaweza kwenda asubu sana na jioni ukarudi zako.
 
Chasha ingekuwa poa sana kama ukienda uje utupe report kwa ajili ya yalio jili uko maana ss wengine tupo mikoa ya mbali
 
Mkuu Chasa umesahau moja sana ya muhimu kuhusu maonyesho ya kilimo bongo,mabanda karibia yote utakuta ni ya waganga wa kienyeji wakitoa vipeperushi vya kutibu magonjwa ambao wizara ya afya na mashirika ya afya duniani yamethibitisha kuwa hayana tiba. Zaidi kwa Tanzania hayewezi kuwa maonyesho ya kilimo kabla hujamuona yule jamaa anayeweka mazingaumbwe ya kichwa cha binadamu kilicho juu ya sahani
 
Mwaka huu ilikuwa naenane yangu ya kwanza, nilijifunza mengi sana. Wish hayo ya nairobi ningekuwepo
 
Chasha ingekuwa poa sana kama ukienda uje utupe report kwa ajili ya yalio jili uko maana ss wengine tupo mikoa ya mbali

clouds.png

top-strip.jpg

[h=1]News[/h] [h=2]Nairobi International Trade Fair 2013[/h]
  • nit-opening-HE.jpg
    Official opening of the Nairobi International Trade Fair 2013 by His Excellency the President Uhuru Kenyatta.
  • nit-opening-2.jpg
    H.E. the President Hon. Uhuru Kenyatta, admires the Champion milk goat at the livestock parade, moments after he declared the Nairobi International Trade Fair officially open.
  • PS-Nakuru.jpg
    Dr. Thuo Mathenge, Chairman Brade Gate Poultry Industry, explains the chick embryo development process to Mrs. Sicily Kariuki, principal secretary state department of Agriculture. This was at the just concluded Nyeri National Show; the society's CEO Mr. Batram Muthoka looks on.
  • Msa.jpg
    The Patron of the Society H.E. the President Hon. Uhuru Kenyatta accompanied by the H.E. the President of the Republic of Uganda Hon. Yoweri Museveni tour the Cooperative bank of Kenya stand during the tour of the 2013 Mombasa International Show. The tour was conducted by the Mr. Gideon Muriuki, MD. Cooperative bank.
  • photo-3.jpg
    Ploughman Mr. Joshua Kigen competing in the conventional plough category reviews his opening slit during the 64th World ploughing Competitions in Canada in July 2013.
  • PS-MSA.jpg
    Mrs. Sicily Kariuki, Principal Secretary State department of Agriculture, inspects the Ministry of Agriculture demonstration plots, in preparation of the Presidential visit on 29th September at the Mombasa International Show.
 
Wakuu heshima,
Kunazia wiki ijayo Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo yanaaza jijini Nairobi, kwa kweli haya ni moja ya maonyesho ambayo si ya kukosa kabisa, ni moja ya maonyesho yenye mvuto wa kipekee last time nilitembelea, Ni moja ya maonyesho bora kabisa na waandaji wetu some time wanaweza enda kujifunza vitu kule na sio Maonyesho yetu ya kilimo huku Bongo mara ukute promotion za mitungi ya Gas, au ukuta sijui maonyesho ya Sarakasi mabo ya ajabu sana.

Kwa walio Mikoa kama Arusha na Kilimajaro ni rahisi kwa sbabau unaweza kwenda asubu sana na jioni ukarudi zako.

umekaribishwa ya hapa kwetu mombasa. watz hawakosi ata wengine upata vibanda vya kuonyeshea bidhaa zao.
[h=1]2013- Mombasa International Show[/h] September 2, 2013 / nmckenya
A century ago the Agricultural Society of Kenya (ASK) was established to promote agricultural development by creating a platform for the farmers to meet prospective buyers both local and international.
The Society's theme for 2013/2014 was "Enhancing technology in Agriculture and Industry for Food security and National growth." The five-day ASK show in Mombasa opened to on Wednesday, August 28 through to Sunday, September 01, 2013. The show attracted exhibitors mainly from the agricultural, industrial, manufacturing and services sector. The International exhibitors were drawn from China, Pakistan, Egypt, Iran, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi and the eurozone.
This trade fair was beneficial to Numerical Machining Complex (NMC). Despite the challenges of a broken axle along Voi and traffic snarl ups, a group of ten representatives from NMC got the opportunity to display and demonstrate the Mavuno Water Pumps to potential buyers. NMC also had the electric drill , lathe machines and the various sizes of gears to enable the public understand what goes on at its workshop that is situated along Workshop Road in Industrial Area.
Numerical Machining Complex (NMC) is an engineering firm that aims at becoming the regional market leader in steel production, and manufacture of high quality machinery, machine tools and components through employing appropriate state of the art technology and highly skilled manpower.
NMC is a local based company. This means that anyone with a technological idea is allowed to walk through its gates and explain their need. This idea will go through research and development, cost analysis, patterning, casting, quality assurance and eventually get to the customer. All these processes involve the customer every step of the way to ensure that the product or service meets the customer's needs.
NMC has enabled Small and Medium Enterprises (SMEs) in Kenya to access tools and machinery parts at subsidized rates. The spare parts and services that would cost an arm and a leg are now a stones-throw-away from the SMEs. An SME means access to wider markets effectively and efficiently and that is what NMC endevours to facilitate as the country positions itself to the industrialized.
When you are interested in investing in the industrial, manufactring and agricultural sector follow us on twitter , like our Facebook page or subscribe to our blog on and learn more on what is happening at NMC.
Keep it here for photos from the show.

About these ads
 
Mkuu Chasa umesahau moja sana ya muhimu kuhusu maonyesho ya kilimo bongo,mabanda karibia yote utakuta ni ya waganga wa kienyeji wakitoa vipeperushi vya kutibu magonjwa ambao wizara ya afya na mashirika ya afya duniani yamethibitisha kuwa hayana tiba. Zaidi kwa Tanzania hayewezi kuwa maonyesho ya kilimo kabla hujamuona yule jamaa anayeweka mazingaumbwe ya kichwa cha binadamu kilicho juu ya sahani

Tehe tehe mkuu ndo hivyo ila nazani huwa hatuna vya kuonyesha that is why unakuta yale. huwa nashangaa kukuta et mainyesho ya kilimo kitaifa mshindi ni banda la wizara ya afya.
 
Tanzania ni vichekesho acheni tu jamani...sasa nane nane simba swala wa nini?
huku wakulima wanapewa mbegu zisizoota!!
 
Mkuu Chasa, maonyesho yalikuwaje? Nilitamani sana lakini majukumu yalinizuia this time. Naomba desa kama ulifanikiwa kwenda tafadhali.
 
Back
Top Bottom