Siku zote mimi husema kuwa, mabilionea na matajiri wakubwa sio hawa mnaotangaziwa na wanaotajwa na media hawa wafanya biashara, bali Wanasiasa, hawa ndio matajiri nambari moja dunia nzima.
Hujiulizi mtumishi wa serikali mwenye mshahara wa mwezi si zaidi ya mili3 na hana kazi wala shughuli nyingine yeyote ya maana lkn anamiliki gari za gharama na mali ambazo pengine hata kwa pension yake ya uzee hawezi zipata hizo mali[emoji1787][emoji28].
Jibu mnalo, siasa ni biashara, siasa ni ajira, siasa ni pesaaa..pesa iko ktk siasa ndiomaana viongozi wetu wako tyr kufnya kila hujma kubaki madarakani ikiwezekana hata kuhujumiana wao kwa wao.
Note; Wanasiasa ndio matajiri haswa wasiotajwa undani wa utajiri wao, hawa ndio wanao waweka mjini hao machawa akina moh, manji, bakhresa, na mabilionea uchwara wengine tunaoaminishwa na media[emoji23]
Tuwachunguze akina mwigulu, january, nape, katelephone, na Msoga gangs wote ktk akaunt zao wanazoficha pesa nje ya nchi, ndipo tutapata uhalisia kuwa kumbe nchi ina mabiliobea wengi wasiotajwa adharan[emoji28]