tunaomba waandaaji wa maonyesho ya 8/8 arusha muongeze juhudi katika kutangaza maonyesho, ni aibu kwa mfanya biashara kulipa kiingilio kwenye maonyesho alaf hapti msaada wa kutangaza biashara zake. tangazeni maonyesho ili yafane mwaka huuu.. ni ushauri, ila karibuni woteeeeeee