Maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada

Maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada

xallito

Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
38
Reaction score
48
Salaam,

Ningependa kuwahabarisha wafugaji ,wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za nyama (red meat & white meat) kutakua na maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada tareh 4 mpk 6 February 2021 ambapo wafanya biashara na wawekezaji wakubwa kwa wadogo wa nyama na ufugaji watakutana kuonyesha bidhaa zao kubadilishana ujuzi na kupeana fursa mbalimbali katika biashara hii.

Sisi tukiwa kama washirika wa waandaji wa maonyesho haya tungependa kukusaidia kuandaa safari hii kwa kuwa kwenye msafara unaotoka Tanzania kwenda Toronto, ili ukajifunze fursa mbali mbali

Kwa atakayependa kushiriki wasiliana nasi +255747945914
Chini hapa nimeweka link ya tovuti ya maonyesho
MeatEx Canada
 
Mkuu ungeweka maelezo zaid mfano, Gharama, mahitaji, fursa zilizopo na faida za maonesho haya.etc.Maelezo uliyoweka hapa hayana nyama kabisa wakati yanahusu tamasha la nyama.
 
Mkuu ungeweka maelezo zaid mfano, Gharama, mahitaji, fursa zilizopo na faida za maonesho haya.etc.Maelezo uliyoweka hapa hayana nyama kabisa wakati yanahusu tamasha la nyama.
Sawa mkuu ila nimetoa utangulizi tuu na badae nikaweka link ambayo unaweza kwenda kwenye tovuti kupata taarifa zaidi.
 
Back
Top Bottom