Maonyesho ya teknolojia za kisasa kwenye kilimo kuanza Aprili 30 Dodoma

Maonyesho ya teknolojia za kisasa kwenye kilimo kuanza Aprili 30 Dodoma

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA 30 APRIL, 2024​

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge.

Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya "From Lab to Farm 2024" yanalenga kuonesha namna matumizi ya teknolojia yanavyochagiza maendeleo ya kilimo ambapo wadau mbalimbali wa kilimo wataonesha shughuli zao

IMG-20240430-WA0003(1).jpg
IMG-20240430-WA0013.jpg
IMG-20240430-WA0003.jpg
 
Bashe hapigi kampeni wala hana time kama anavyohaha Bashitu kutujazia manyuzi yanayoboa sana humu jf ila huyu mwamba ana sifa zote za kumpokea Maza, sera zake za kilimo zinaeleweka na kazi yake inaonekana laivu bila chenja , yuko serious kweli kweli na kilimo
 
Back
Top Bottom