Bashe hapigi kampeni wala hana time kama anavyohaha Bashitu kutujazia manyuzi yanayoboa sana humu jf ila huyu mwamba ana sifa zote za kumpokea Maza, sera zake za kilimo zinaeleweka na kazi yake inaonekana laivu bila chenja , yuko serious kweli kweli na kilimo