Maovu ndio mema na mema ndio maovu

Maovu ndio mema na mema ndio maovu

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Vipi unafika kwa Sir God anakuambia Yale uliyofundishwa kuwa ni maovu duniani kumbe ndio mema, Yale uliyofundishwa ni mema ndio maovu!
 
Vipi unafika kwa Sir God anakuambia Yale uliyofundishwa kuwa ni maovu duniani kumbe ndio mema, Yale uliyofundishwa ni mema ndio maovu!
Ninyi ndo ambao Isaya aliwasema:

Isaya 5:20
Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!

Alafu haitwi "Sir God" , anaitwa Mungu mwenye Nguvu, Baba wa milele. Mbona mnamdhihaki Mungu aliye Mtakatifu sana waziwazi?
 
Reactions zote hizi zinamaanisha Imani haitaki kabisa kuchanganywa na akili za kibinadamu!
 
Vipi unafika kwa Sir God anakuambia Yale uliyofundishwa kuwa ni maovu duniani kumbe ndio mema, Yale uliyofundishwa ni mema ndio maovu!
We unadhani kuua mtu inaweza kuwa vyema? Kudhulumu unafikiri inaweza kuwa vyema? Unajisikiaje ukidhulumiwa wewe au unapenda uuwawe?

Matumizi ya mihadarati sio mazuri
 
Maovu na mema yote ni sawa kwa sababu ukiondoa kimoja tu kingine hakipo.
 
Back
Top Bottom