Ninyi ndo ambao Isaya aliwasema:Vipi unafika kwa Sir God anakuambia Yale uliyofundishwa kuwa ni maovu duniani kumbe ndio mema, Yale uliyofundishwa ni mema ndio maovu!
We unadhani kuua mtu inaweza kuwa vyema? Kudhulumu unafikiri inaweza kuwa vyema? Unajisikiaje ukidhulumiwa wewe au unapenda uuwawe?Vipi unafika kwa Sir God anakuambia Yale uliyofundishwa kuwa ni maovu duniani kumbe ndio mema, Yale uliyofundishwa ni mema ndio maovu!