TANZIA Mapacha Dorcas na Doreen Lemshungy walioungana moyo wafariki dunia

TANZIA Mapacha Dorcas na Doreen Lemshungy walioungana moyo wafariki dunia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Hatunao tena wapendwa wetu

mapacha-pic-data.jpg

Ni Dorcas na Doreen Lemshungu waliozaliwa Julai 2020 na kisha kukabidhiwa kwa Masista wa Theresia wa kituo cha kulelea watoto Tosamaganga Mkoani Iringa.

Wendazake hao walizaliwa wakiungana moyo hivyo kuleta changamoto kubwa ya kuwafanyia upasuaji ili kujaribu kuwatenganisha
 
Aiseh sio wale wengine walifika mbali kimasomo
 
Sina kumbukumbu sahihi kama watoto wanaozaliwa mapacha wa kuungana Tanzania hii kama huwa wanamaisha marefu, wengi huishia kuaga maisha wakiwa hawajatimiza hata robo Karne.

Mungu awape pumziko la milele malaika hao, they gone to soon😭😭😭
 
Aisee. Muunganiko wa Moyo sio rahisi kuwatenganisha.
 
R.i.p
Pole sana baba na mama wa watoto hawa
Mlijikubali na mliwapenda watoto hawa
 
Raha ya milele uwape eeh Bwana na Mwanga wa Milele Uwangazie Wapumzike kwa Amani, Amina🙏😔
 
Umekosea saana mkuu..just imagine wangekuwa wanao,ungesema haya??.
Hajakosea..nina imani hata wangekuwa wanawe angesema hivyo. Hata mimi!

Kwa hali ya hao watoto, kadri wanavyoendelea kukua ndivyo mateso ya kiafya yanavyoongezeka.
Pia uwezekano wa wao kuishi kwa kutegemea moyo mmoja ni mdogo mno.

Bora wamepumzika mapema
R.I.P double D
 
Back
Top Bottom