Hapana mkuu, hii sio kweli, DNA ni unique hata kwa mapacha. Waende tu wakapime ukweli utajulikana. Ukitaka kuhakikisha angalia kesi za CSI (NY, MM, LV)
kumbuka identical twins inatokana na one fertilized egg then likagawanyika by cell divisionHapana mkuu, hii sio kweli, DNA ni unique hata kwa mapacha. Waende tu wakapime ukweli utajulikana. Ukitaka kuhakikisha angalia kesi za CSI (NY, MM, LV)
Exactly identical twin can have the same DNA, but only thing that could diffentiate them is their finger printskumbuka identical twins inatokana na one fertilized egg then likagawanyika by cell division
kama hakutakuwa na mutation yoyote wakati wa hiyo cell division DNA zao zitakuwa sawa sawa.
Jamani kuna kesi hapa nyumbani, dada wa kazi kajazwa mimba na mapacha wa hapa jirani. Tatizo ni kuwa haieleweki ni ya nani maana wote wamekiri wanahusika. Wametuacha na mshangao maana inaonekana walikuwa wanamega kila mtu na muda wake bila binti kujua.. Kesi imeahirishwa hadi wazazi wa binti watakapofika!
Tatizo ni kuwa wote wamemzimikia huyo demu, na wako tayari kuoa.Hapo kweli kuna mzozo maana kama ni identical twins hata ukicheki DNA zao zitafanana kwa sababu wanatokana na yai moja. Solution kama wote wamekubali mimba ni yao wote wamlee mtoto atakaezaliwa kwa pamoja na kama hiyo mimba watazaliwa mapacha wagawane watoto.
Haya hili litatatuliwa kwa DNA, bado nani atakayemuoa maana wote wanamtaka huyu binti!Hapana mkuu, hii sio kweli, DNA ni unique hata kwa mapacha. Waende tu wakapime ukweli utajulikana. Ukitaka kuhakikisha angalia kesi za CSI (NY, MM, LV)
kumbuka identical twins inatokana na one fertilized egg then likagawanyika by cell division
kama hakutakuwa na mutation yoyote wakati wa hiyo cell division DNA zao zitakuwa sawa sawa.
Exactly identical twin can have the same DNA, but only thing that could diffentiate them is their finger prints
Dah!! Mkuu upo deep kwenye mambo ya Biotechnology!!Sayansi imeendelea sana siku hizi ndugu yangu, kuna kitu kwenye DNA kinaitwa, unique perfect matching. Hata kama hakukuwa na mutation, wakisha perform matching then wanaweza kuperform perfect matching, watatoka tu!
Sayansi imeendelea sana siku hizi ndugu yangu, kuna kitu kwenye DNA kinaitwa, unique perfect matching. Hata kama hakukuwa na mutation, wakisha perform matching then wanaweza kuperform perfect matching, watatoka tu!