Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
mmoja akiwa anazagamuliwa sijui itakuwaje?Na inshu ya CHINI je!? Wanayo maja?! Ama kila mtu ana inshu yake?!
Kuna mambo yanafikirisha SanaHapo mmoja akiwa ananuka mdomo ni balaa, huwezi kukwepa lazima umeze harufu yote.
Ukigeuka unavunja bega.
ila na wewe unawaza ujingaNa inshu ya CHINI je!? Wanayo maja?! Ama kila mtu ana inshu yake?!
Kila mmoja ana moyo wake, uti wa mgongo wa peke yake, mapafu ya peke yake, na pia kila mmoja ana tumbo lake na hula kwa wakati wake.Huyo ni mtu mmoja mwenye vichwa viwili
Kuna vitu huwez kuwaza kama una busara na hekima.mmoja akiwa anazagamuliwa sijui itakuwaje?
πππππUkiwa unawagonga, wakati wa kuwanyonya mate unakuwa kama unacheza draft unagusa Hapa unahama unaenda kule π₯
Mbaya zaidi ni kama kichwa kimoja hakijakupenda Ww mzagamuaji
Ukweli upo OVESI Mkuu..Tumbo ni moja ila mabichwa ndo mawili.
Ukila unakula kwenye tumbo moja, mishahara miwili ni matumizi mabaya ya kodi. Walipwe mtu moko.
Changamoto itakayotokea ni pale ambapo mmoja anataka sambusa halafu mwingine anataka biriani, wanafakamia jumla jumla vitu vinajichanganya tumboni.
Mungu nifundishe kunyamaza.
Kichwa kimoja kikatwe ili tuelewane vizuri. Niko OVESI mjukuu wangu.
Cc: Intelligent businessman Extrovert Kalpana dronedrake Busu la Kenge
Hapa hamna katiba mpyaUkiwa unawagonga, wakati wa kuwanyonya mate unakuwa kama unacheza draft unagusa Hapa unahama unaenda kule π₯
Mbaya zaidi ni kama kichwa kimoja hakijakupenda Ww mzagamuaji
Inasikitisha sana mkuu πHapa hamna katiba mpya
CCM oyeeeee
Hivi Hawa ni mapacha au ni mtu mmoja mwenye vichwa viwili?Abby na Brittany ni mapacha walio ungana wana miaka 34. Wakati wanasoma chuo walikuwa wanalipa Ada (college fees) kila mtu yake. Baada ya kupata ajira wanapokea mshahara wa mtu mmoja.
Abby na Brittany Walimaliza chuo muongo mmoja uliopita walisomea walimu asa hivi wanafundisha elementary school.
View attachment 3420599
Nilitegemea reply kama hii, lilikuwa swala la muda tu.mmoja akiwa anazagamuliwa sijui itakuwaje?