Mapacha walioungana walipwa mshahara wa mtu mmoja

aisee huu ni muujiza kwa kweli

maisha yao ni funzo kubwa sana kwetu waja
 
Hyo mioyo hapo imekaaje
 
Sio fair.

Inatakiwa kila mmoja alipwe mshahara wake.
 
Kwahiyo hadi kwenye haja wanasikia kwa mda tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…