Mapacha Walioungana

ikisimama panda

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
2,716
Reaction score
2,388
Naomba kuuliza wataalamu wa afya na mwili wa binaadamu kwa ujumla, wale mapacha wetu walochaguliwa chuo kikuu majuzi mfano akifa mmoja (siombei iwe hivyo) na inavyoonesha kila mmoja ana moyo wake na ubongo wake vinavyojitegemea, huyu aliebaki anaweza ku survive vipi?
NB; tusitie utani na utoto​
 
Watakufa wote, kama mwili umeungana huwezi kuwa na marehemu na aliyehai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…