Mapacha wanapatikanaje?

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
366
Reaction score
68
Wadau habarini ya majukum ya hapa na pale, jamani nimekuwa nikipatwa na wivu sana nikiona rafiki zangu wakiwa na watoto wao mapacha, hivi kuna njia yeyote ya kuweza kupata watoto mapacha au ni bahati tu kuwapata, kama inawezekana naombeni mnipe elimu ya hili jambo kwa wale wanaofaham
 
tafuta shoga zaa nae kama wewe ni mwanamke..
kama wewe ni mwanaume tafuta msagaji...
hapo utazaa mapacha wa kike/kiume, ila kupata mapacha wa jinsia moja hapo mimi sijui kabisa
 
Ingia HAPA
 
Zinatengenezwa na madawa ya siku hizi...ila ndo unaweza taka 2 wakatoka nane ka vitoto vya nyau..
 
Eat sweet potatoes

Mmmh, mwanzo nilidhani unatania! Kumbe inawezekana kuna kaukweli fulani!
 
tafuta shoga zaa nae kama wewe ni mwanamke..
kama wewe ni mwanaume tafuta msagaji...
hapo utazaa mapacha wa kike/kiume, ila kupata mapacha wa jinsia moja hapo mimi sijui kabisa

Maneno yako na Avatar yako haviendani, tafadhali jaribu kutuheshimu wapiganaji.
 
tafuta shoga zaa nae kama wewe ni mwanamke..
kama wewe ni mwanaume tafuta msagaji...
hapo utazaa mapacha wa kike/kiume, ila kupata mapacha wa jinsia moja hapo mimi sijui kabisa

Mh! be blessed
 
tafuta shoga zaa nae kama wewe ni mwanamke..
Kama wewe ni mwanaume tafuta msagaji...
Hapo utazaa mapacha wa kike/kiume, ila kupata mapacha wa jinsia moja hapo mimi sijui kabisa
mungu akusaidie.
 
au akaliwe kibogaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
-DAH WEWE NI MZIMA KWELI?
-ebu jaribu kujieshimu kdg kaka yangu
-km huna cha kujibu basi kaa kimya
-kutukana ivi si ustaarabua ata kdg wakat mwenzako ana tatizo kabisa na kaomba msaada then wewe unarusha tu matusi
-matusi si ujanja kakayangu
AVE A NICE DAY MA DEAR BRAZA.
 
Twanga kotekote😛eace:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…