johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dr Hamis Kigwangalla alishinda bila kupingwa jimbo la Nzega vijijini
Hamis Taletale alipita bila kupingwa jimbo la Morogoro kusini mashariki
Hamis Mwinyijuma alishinda kwa kishindo Jimbo la Muheza
Hawa ndio mapacha watatu katika bunge la Ndugai kwa tiketi ya CCM lakini pia wanapendelea sanaa.
Ngoja bunge lichanganye tuone makali ya vijana hawa wadogo.
Maendeleo hayana vyama!