J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 12, 2021 #1 Dr Hamis Kigwangalla alishinda bila kupingwa jimbo la Nzega vijijini Hamis Taletale alipita bila kupingwa jimbo la Morogoro kusini mashariki Hamis Mwinyijuma alishinda kwa kishindo Jimbo la Muheza Hawa ndio mapacha watatu katika bunge la Ndugai kwa tiketi ya CCM lakini pia wanapendelea sanaa. Ngoja bunge lichanganye tuone makali ya vijana hawa wadogo. Maendeleo hayana vyama!
Dr Hamis Kigwangalla alishinda bila kupingwa jimbo la Nzega vijijini Hamis Taletale alipita bila kupingwa jimbo la Morogoro kusini mashariki Hamis Mwinyijuma alishinda kwa kishindo Jimbo la Muheza Hawa ndio mapacha watatu katika bunge la Ndugai kwa tiketi ya CCM lakini pia wanapendelea sanaa. Ngoja bunge lichanganye tuone makali ya vijana hawa wadogo. Maendeleo hayana vyama!
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,863 Reaction score 19,626 Feb 12, 2021 #2 Daaah Hamis mapikipiki siku hizi kapoa kama yatima
Trainee JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 2,660 Reaction score 3,501 Feb 12, 2021 #3 Yaani nilimgundua tu Dr. Kigwa, basi Isingekuwa huyo aliyetaja miaka hapo ndo ningeambulia patupu, halafu kumbe MwanaFA ndo ni mkubwa kiasi hiko!!!
Yaani nilimgundua tu Dr. Kigwa, basi Isingekuwa huyo aliyetaja miaka hapo ndo ningeambulia patupu, halafu kumbe MwanaFA ndo ni mkubwa kiasi hiko!!!