Mapambano dhidi ya Rushwa na Uffisadi kuongozwa na Polisi!

Mapambano dhidi ya Rushwa na Uffisadi kuongozwa na Polisi!

seamlessly

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
38
Reaction score
10
Nimeipitia rasimu ya Katiba mpya iliyosomwa na Warioba na nimeshangaa kuona kwamba inapendekeza Rushwa na Ufisadi vishughulikiwe na Polisi. Warioba alikuwa mwenyekiti wa tume iliyoitwa kwa jina lake iliyoeleza mianya ya rushwa na kutoa mapendekezo mengi lkn hakupendekeza polisi washughulikie rushwa- utendaji mbovu wa polisi leo km vile kubambikia kesi (mafuvu) watu,kuua raia kiholela, kufanya biashara haramu, kufanya ujambazi, rushwa ya kimfumo ya trafiki nk vimemshawishi Warioba na wenzake waiue PCB? mbona warioba ktk hotuba yake hajelezea pendekezo hili nyeti limetokana na maoni ya kundi gani la jamii? au ni maoni yake binafsi labda yanayotokana na uchunguzi uliokuwa unafanywa na PCB dhidi yake juu ya masuala ya Mwananchi gold/meremeta? au hasira za mshirika wake dk mahalu aka mzee wa mikataba 2 ya jingo la ubalozi? Ni mawazo tu,ni mtazamo tu wadau.
 
Back
Top Bottom