Bertha Paul Bisseko
New Member
- Jun 30, 2024
- 1
- 0
MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA
Rushwa ni kitendo cha kutoa, kupokea kitu, fedha kwa jambo ambalo haukuwajibika nalo kinyume
cha sheria.
Kama ilivyotajwa katika kanuni za maadili Rushwa ni kitu chochote chenye thamani na kinatolewa au kupokelewa na mtu yeyote ambaye sio muwajibikaji katika kufanya kazi au majukumu aliyopewa au kupangiwa kwa maendeleo yake, familia yake, jamii yake au Taifa kwa ujumla.
Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani Afrika Mnamo julai 11 Mwaka 2023, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema "Afrika si kichaka cha Wala Rushwa na hilo lionekane kupitia vitendo yetu dhidi ya rushwa”
UTAWALA BORA
Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote.
Utawala Bora huzingatia Misingi Ifuatayo ili kuweza kutengeneza Tanzania Tuitakayo: Uwazi na Uwajibikaji, Uadilifu, Ushirikishwaji, Ufanisi na Tija, Usawa ambapo tukizingatia hayo kutakuwa na Tanzania tuitakayo yenye; Matumizi mazuri ya rasilimali za nchi, Maendeleo endelevu, Kupungua kwa umasikini, ujinga na maradhi, Kutokomea kwa rushwa, Huduma bora za jamii.
RUSHWA CHANZO KIKUU CHA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Ukatili wa kijinsia ni kitendo kinachofanyiwa mtu yeyote mwanamke au mwanaume kwa lengo la kumdhuru au kumuumiza kisaikolojia, kimwili, kiafya, kingono na kiuchumi. Hatahivyo tafiti nyingi zimeonesha kwamba wanawake ndio wahanga wakubwa wa Ukatili wa Kijinsia.
Kuna aina mbalimbali za ukatili wa kijinsia ambazo ni; Ukatili wa kimwili: kwamfano; kupigwa kunyanyaswa, kusukumwa, kuporwa, kukeketwa na kudhalilishwa. Ukatili wa kiafya; ni pamoja na kukosa hakiya uzazi ya kujifungua hospitalini, mume kumnyima mwanamke hela ya kwenda hospitalini, mume kumnyima haki mwanamke ya kutumia uzazi wa mpango kama vile matumizi ya mipira ya kiume (Condom), mwanaume kupima VVU na kumficha mke wake majibu

Kama ilivyotajwa katika kanuni za maadili Rushwa ni kitu chochote chenye thamani na kinatolewa
au kupokelewa na mtu yeyote ambaye sio muwajibikaji katika kufanya kazi au majukumu aliyopewa au kupangiwa kwa maendeleo yake, familia yake, jamii yake au Taifa kwa ujumla.

SWALA LA UNYANYASAJI WA KINGONO NI KUBWA KIASI GANI?
Unyanyasaji wa kingono ni tatizo kubwa la kiafya na hata la kibinadamu linalomuathiri mtu kwa muda mrefu kulingana na shirika la Afya (WHO).
GAZETI LA MWANANCHI - TANZANIA.
Mmomonyoko wa maadili na matumizi mabaya ya madaraka vimekuwa vyanzo vya kuwepo kwa rushwa kubwa ya kingono katika vyuo vikubwa viwili Tanzania, Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). Dar es Salaam mmomonyoko wa maadili na matumizi mabaya ya madaraka, vimetajwa kuwa vyanzo vya kuwepo kwa rushwa kubwa ya ngono katika vyuo hivyo vikuu viwili UDSM NA UDOM. Hayo yamebainika kufuatia utafiti uliofanywa na Mfuko wa wanawake Tanzania (WFT) Kwa kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Katika Mwaka2020.
NDOA ZA UTOTONI TANZANIA KUKWAMISHA WASICHANA WASIPATE ELIMU;
Ndani ya Tanzania maranyingi ndoa za utotoni hukatisha elimu ya wasichana wengi. Wanafunzi walioolewa au wenye mimba wanafukuzwa shule au kukatishwa masomo mara kwa mara, ingawa sio sera rasmi, shule za kitanzania pia hupima mimba kwa lazima na kuwafukuza wasichana wenye mimba shuleni. Hivyo ndoa za utotoni ni unyanyasaji wa kijinsia ambao unafanywa na wazazi wengi ili waweze kupata mahali kama hongo za kuwaoza mabinti zao ambapo hupelekea unyayasaji wa kijinsia na wa kisaikolojia pamoja na vifo.
MIMBA ZA UTOTONI; Asilimia 44 Human Right Watch imewahoji wasichana kadhaa walofukuzwa shule kwasababu walikua na mimba, wengine wanasema kuwa “waliacha kuudhulia shule baada ya kugundua wanaujauzito kwa kuhofia kufukuzwa shule”. Wengine hufukuzwa shule wanapokua mwaka wao wa mwisho wa kumaliza masomo.
MAHALI;
Jamii nyingi za kiafrka hasa Tanzania kulingana na mitazamo hasi, kuwa na desturi ya kusomesha watoto wa kike, hii ni kwasababu waliamini kuwa kumsomesha msichana ni uharibifu wamali zao, hivyo kazi kubwa ya msichana yeye ni mama wa nyumbani kulea watoto na kuhudumia mwanaume pamoja na kufanya kazi za nyumbani,hivyo wanapovunja ungo wanapaswa kuolewa
JE, NI NINI CHA KUZINGATIA KWA MUHANGA WA UKATILI WA KIJINSIA
Kutoa taarifa haraka mara tu anapofanyiwa kitendo cha ukatili wa kijinsia Kuzingatia kutunza ushahidi mfano; mtu aliyefanyiwa ukatili wa kingono hapaswi kuoga au kubadilisha nguo. Nenda hospitalni haraka kwa matibabu Hakikisha Polisi wanafungua kesi mahakamani haraka na kujaza ushahidi.
TANZANIA IMEANDAA MPANGO WA KUPUNGUZA UKATILI WA KIJINSIA
Serikali imeandaa mpango wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya wanawake na Watoto kwa lengo la kupunguza kiwango cha ukatili kwa asilimia 50. Mpango huu ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya Maendeleo ya Wanawake na jinsia(2002),Mkakati wa Taifa wa Maendeleo ya Jinsia(2005), Sera ya Maendeleo ya Mtoto(2008) na Sheria ya makosa ya kujamiiana(1998), SOSPA(1998)
Waziri Mkuu wa Tanzania KASSIM MAJALIWA amesema” Utekelezaji wa Mpango huo utachangia katika utekelezaji wa Mipango na Mikataba ya Kikanda na Kimataifa kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia uwezeshaji wanawake na wasichana pamoja na haki za ustawi wa watoto.
MAPENDEKEZO; KWA RAIS WA TANZANIA
Alaani hadharani dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto wanaokataa ndoa za utotoni, za mapema nazakulazimiswa Aunge mkono hadhalani kuwekwa kwa mfumo wa umri mdogo kuto kuoa au kuolewa kwa wavulana au wasichana hadikufikia umri unaolingana na unaotambulika Atoe wito kwa mamlaka za elimu kutokomeza utendaji wa kibaguzi wa kupima mimba kwa lazima kwa wanafunzi shuleni na wasichana wenye mimba kusitishwa masomo na wanafunzi walioolewa.
KWA WIZARA YA ELIMU NA MIFUMO YA UFUNDI:
Irekebishe Sera ya Elimu na Mifumo ya Ufundi, ili ijumuishe kifungu ambacho kinamruhusu mwanafunzi walioolewa na wenye mimba kuendelea na masomo ili kutimiza malengo yao. Irekebishe muundo uliopo wa Sheria na Sera unaodhibiti kufukuzwa shuleni na kukatishwa Kupanua chaguo la matunzo ya watoto. Kuandaa mikakati ya kuwabakiza shuleni kuhakikisha kua wasichana wanao jiandikisha kubaki shuleni hadi wanapomaliza masomo
KWA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA:
Ifanye kazi ili kuwa na uchambuzi wa kina na maboresho ya sheria ya Tanzania ya ndoa,kutengana
talaka na mambo yanayohusika.
Hivyo wanafunzi wa vyuoni na hata wale wa elimu ya chini kama vile sekondari wanapaswa kuwajibika kwa kufanya kazi wanazopangiwa na walimu wao.kwa wakati sahihi na kwa usahihi ili kuweza kuepusha mazingira ya kutoa au kupokea rushwa ambayo malanyingi husababisha unyanyasaji wa kijinsia.
Pia Serikali iongeze mitaala mbali mbali mashuleni inayogundisha na kuelekaza kuhusu masuala ya rushwa na ukatili wa kijinsia kwani ni kikwazo kikubwa cha maendeleo katika jamii zetu za Kitanzania na Afrika kwa ujumla maana kwa anayepokea na kwa anayetoa rushwa kuna madhara makubwa.
BY BERTHA PAUL BISSEKO

Upvote
2