kunaile alikutana naga na mnyama Douglas match ilchezwa Japan hata sahau,japo mimi nishabiki number moja wa Tyson pia hakuna match nayoipenda kama ile ana mpindua mzee mzima Bruno kipindi hicho Bruno anamika 32 Tyson 24 kama sikosei alafu Bruno alikuwa anamzidi Tyson kuanzia height mpaka weight,mwisho wasiku Bruno akastahafishwa ngumi na huyu bwana mdogo kwa enzi hizo