Nasibu hemedi
Member
- Aug 27, 2022
- 11
- 4
Mimi ni kijana wa kitanzania nimezaliwa mkoa wa kilima njaro wilaya ya same kwenye kijiji cha kisiwani wilayani same. Mm nikijana mwenye umri wa miaka 30 kwa sasa.
Nililelewa na mzazi moja ambae ni mama pekee. Kwa majina yangu kamili naitwa Ramadhani selemani nilizaliwa mwaka 1992 mwezi wa tano katika wilaya ya same mkoani kilimanjaro
Kipindi nilipo zaliwa nilionekana kuwa mzaifu sana kutokana na mazingira magumu alio pitia mama yangu kipindi alipo kuwa na ujauzito kwakuwa alikuwa ni mlemavu wa akili.
Mama yangu alikuwa na ulemavu wa akili kunakipindi anachanganyikiwa kabisa na kuwa kichaa na hupoteza kumbu kumbu zake kabisa hivyo hata mimba aliipata kutokana na kubakwa kutokana na haliake ya kuto kujielewa na hakumjua muhisika yani baba yangu ni nani. Nilipo zaliwa niliishi maisha magumu sana sikuwa na rafiki wa kunipa ushauri wala wa kunitia moyo.
Nilipofika umri wa miaka 7 babu yangu alinichukua na kuniandikisha shule nilisoma kwa shida kwakuwa babu yangu hakuwa na kipato alafu alikuwa na umri mkubwa hivyo hakuweza kutuhudumia mimi na mama yangu mlemavu wa akili nilifanikiwa kusoma mpaka kumaliza elimu yangu ya msingi nikiwa na miaka 14.
Nilifanikiwa kufaulu na kujiunga na elimu ya sekondari ilipo jirani na makazi ya babu yangu nilisoma kwa juhudi sana sikuwahi kukata tamaa ingawaje mazingira yangu yalikuwa yananikatisha tamaa moja kwa moja nilipo fika miaka 18 nilimaliza kidato cha 4 sikupata bahati ya kuendelea na kidato cha 5 hivyo ilinilazimu kupoteza ndoto zangu za elimu nilipasua kicha sana nini nifanye kukwamua familia yangu kwenye janga la umaskini ulio kithiri halia kuwa babu yangu alizidi kuwa mzee sana na mama yangu ni mlemavu hajui kutafuta kipato chochote nilipo fika miaka 20 nilijiunga na elimu ya muda mfupi QT nilirudia elimu ya sekondari kwa miaka miwili.
Nilipo fika miaka 22 nilimaliza elimu yangu ya QT na kupata ufaulu wa diviseni 2 hivyo nilipata bahati ya kujiunga na elimu ya kidato cha 5 nilifurahi sana ila kabla sijajiunga na masomo ya kidato cha 5 babu yangu alifariki dunia maisha yakazidi kuwa machungu zaidi na yenye mstatizo makubwa zaidi.
Muda mwingi kwenye maisha yangu nilikuwa na majuto kuliko furaha japo kila jambo nilimuachia mungu kwakuwa ndio muweza wa yote sikuwahi kulala kwenye kitanda katika maisha yangu nilikuwa mtu wa kulala kwenye vigodoro vilivyo chakaa mithili ya mkeka mkukuu.
hivyi sikuwa na uwezo wa kulipa ada tena ili kuendelea na kidato cha 5 ilinibidi nibaki nyumbani ili nimlee mama yangu nzazi kwani ni mlemavu na alibaki pekeake nyumani .
nilipitia maisha magumu kwakuwa nilikuwa mtoto pekee kwa mama yangu. Na mama yangu alizaliwa pekee kwa babu yangu mimi hivyo hakuwa na ndugu wala rafiki wa karibu zaidi yangu mimi.
Nilijishughulisha na ukulima wa mpunga nilikodisha mashamba kwa wakulima kwa masharti nitakacho vuna tugawane nusu kwa nusu kwakuwa sikuwa na uwezo wakulipa moja kwa moja nilikubali. Nililima kwa juhudi sana misimu 3 nilifanikiwa kupata chakula na ela kidogo nikaona ni muda sahihi wa kujiendeleza kielimu japo kidogo nikajiunga na chuo chazi ya astashahada mwaka 1 kwakuwa chuo kilikuwa mbali ilinibidi kuhama na kuanza maisha mapya mimi na mama yangu karibu na chuo.
Ilinibidi nianzishe biashara ya kuuza mihogo ya kukaanga muda wa jioni ili niweze kupata japo visent vya kutumia mimi na mama yangu.
ugumu nilikuwa naupata palee ninapo enda chuo inabidi nimfungie mama yangu ndani ili asije potea na kuteseka tena mpaka nitakapo rudi. Hali hii ilikuwa inanitesa kisaikolojia kwakuwa ilikuwa inamvima uhuru wake binafsi.
nilijikaza mpaka ulemwaka moja ukapita nikamaliza na nilipata cheti kizuri cha GPA ya 3.2 kwakuwa nilisha zoea maisha yangu mapya niliona ni wakati wangu wa kupambana bila kurudi nyuma.
kwakuwa nilisomea mambo ya kilimo na ufugaji ilikuwa sio ngumu kwangu kujiajiri mwenyewe nikiwa na elimu yangu bdogo ya cheti tuu.
Nijaamua kunzisha kilimo cha umwagiliaji kwakuwa sikuwa na vitendea kazi nilipata wakati mgumu sana kwakuwa nilikuwa nalima kwa mkono na kumwagilia kwa ndoo sikuwa na uwezo wa kifeza wa kununua vitendea kazi vya kisasa vinavyo rahisisha kilimo changu cha maharage na vitunguu.
japo mnamo mwaka 2004 niliomba mkopo ili niweze kununua japo matenki madogo kwa ajili ya kuhifadhia maji kipind cha uhaba wa maji na nilifanikiwa kupata laki 6 nikanunua madine ndogo ya kumwagilia na tenko 1 dogo hapo ndipo nilipata nguvu ya kufanya kazi kwa bidii mungu akanijalia nikapata vitunguu vingi sana kwenye mavuno yangu.
Niliuza na kupata milioni 5 kwakuwa sikuwa na shambq niliamua ninunue shamba la milioni 3 na ela iliyo baki nikaona nijenge kibanda shambani ili kuepuka usumbufu wa kodi tuka hamia mimi na mama yangu.
Ilipo fika mwaka 2016 niliamua kurudi shule niongeze elimu yangu nilijiunga na chuo ngazi ya shahada miaka miwili. Kwakuwa chuon sio mbali nilikuwa naenda na kurudi kwangu.
ili kupata ela za mtumizi niliamua kufuga kuku wa mayai na nilifanikiwa kuvuna mayai ya elfu 40 kwa wiki nikiwa shambani kwangu.
Ilipo fikanwaka 2018 nilimaliza na kuendelea na digrii yangu nashukuru mungu niliomba mkopo serikalini nikapata nikaona njia ya mafanikio.
Ilipo fika mwaka 2021 nilimaliza elimu yangu na kutokana na uhaba wa ajira nikaona bora nijiajiri kupitia kilimo changu kwakuwa nilishaanza muda mrefu na nimesomea nikaona ndio muda wa kufanya kilimo changu kuwa ajira kwa vijana wenzangu.
Mpaka sasa nimefanikiwa nimeajiri vijana wenzangu wapatao 35 na tunaisho vizuri sana.
Hivyo nawashauri vijana wenzangu tusikate tamaa kwakuwa mafanikio huja kwa juhudi zetu wenyewe na hakuna nyia rahisi ya kufanikiwa.
Mpaka muda huu mama yangu nimempeleka hospitali amepata dawa za kutuliza akili yupo salaama na anafanyq kazi zake kama wamama wengine kama kupika na kufua.

Upvote
1