Elisha Chuma
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 282
- 276
Na kwako piaAsubuhi njema
Na ukikutana nao ni kama hawana madeni, sirini wanasumbuka ila machoni ni kama wako sawaβ¦tujitahidi tu kuwa wakarimuxNilifikiri mimi nina madeni bwana , aisee leo kuna file nimekutana nalo la watu nawajua ambao hata sikuwadhania, aisee mimi sina deni hata 1 ππππππ, kiukwel nimesikitika, sijafurahia.