Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Wapi Papaa Muzamili Katunzi,Mulezi ya Wana![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi wale ma papaa na mapedezhee waliokuwa wakitajwa kwenye nyimbo za wacongo wameishia wapi? Kipindi hicho (awamu ya 4) kulikuwa na club nyingi sana zenye live band na wasanii maarufu wa muziki wa dansi hasa wenye asili ya congo waliingiza pesa nyingi sana kwa kuwataja kwenye nyimbo zao.
Utasiia pedezhee Ndama mtoto ya ng'ombe, papaa Musofe, Pedezhee Rugemalila muzee ya suti nyeupe(huyu JPM alimnyoosha)[emoji23]
Wengine wako wapi?
Papas Amose Makala, baba na Gabriele, mzee wa MvomeroWapi Papaa Muzamili Katunzi,Mulezi ya Wana![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Nteze wa nteze ( Ntezemana) mzee wa kunduchi yupo Tegeta ana mental health issue ( kachanganyikiwa)Hivi wale ma papaa na mapedezhee waliokuwa wakitajwa kwenye nyimbo za wacongo wameishia wapi? Kipindi hicho (awamu ya 4) kulikuwa na club nyingi sana zenye live band na wasanii maarufu wa muziki wa dansi hasa wenye asili ya congo waliingiza pesa nyingi sana kwa kuwataja kwenye nyimbo zao.
Utasiia pedezhee Ndama mtoto ya ng'ombe, papaa Musofe, Pedezhee Rugemalila muzee ya suti nyeupe(huyu JPM alimnyoosha)😂
Wengine wako wapi?