JICHO LA 3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 356
- 62
Ni vivutio vya utalii!
macho kazi yake kuona. lakini inabidi yaone vitu vya kiustaarabu sio kama mapapai. ndio maana mnavaa nguo za kulalia mtaaniWe unafanya nini kuangalia vifua vya watu???
Tafuta miwani ya mbao...na kama ni mkeo ndio unaona anatega mfunike maana ulivyokasirika....
haiwezekani kuzuia macho kutizama. lakini inabidi yatizame vitu vizuri. na kama hamjui hiyo ni moja ya sababu ya kuvunjika kwa ndoa nyingi kwasababu wanaume tumeumbwa tukitawaliwa na macho kimapenzi. hivyo tunaweza ona kwa njee kama mtu ananifaa lakini baada ya kuishi pamoja kwa muda mabo ndipo yanapo badilika. ndio maana unaona ndoa zinafungwa kiufahari lakini zinakaa muda mfupi tujamani umeongea kwa uchungu sana hadi mi roho imeniuma
lkn kaka ndo utandawazi huo kinadada wanajiachia wanavotaka
ili kukwepa vishawishi inabidi usiangalie mpendwa wangu
dah....pole sana
nashukuru kwa kuliona hilo maana hayo yote hayawezi fanyika bila kuonaLizzy, anasema ''tusiangalie vifua vya watu!'' Tutaachaje kuviangalia wkt viko mbele yetu? Tukivaa miwani ya mbao hatutaweza kuona maua ya ulimwengu.
Feis Buku, anasema " tujiinamie chini ili tusiendelee kuona" Hata kama tutajiinamia si tayari macho yatakuwa yamerekodi na kuweka kumbukumbu akilini?
Tunaomba mtupe njia ya kuweza kuendana na hali hii bila kutuathili.
Mtu yuko mbele yako...waweza chagua kuangalia sehemu nyingine yoyote isipokua kifua kama kinakusumbua. Kuhusu kuona maua...chuma uangalie ukiwa ndani kwako.Lizzy, anasema ''tusiangalie vifua vya watu!'' Tutaachaje kuviangalia wkt viko mbele yetu? Tukivaa miwani ya mbao hatutaweza kuona maua ya ulimwengu.
Feis Buku, anasema " tujiinamie chini ili tusiendelee kuona" Hata kama tutajiinamia si tayari macho yatakuwa yamerekodi na kuweka kumbukumbu akilini?
Tunaomba mtupe njia ya kuweza kuendana na hali hii bila kutuathili.
hii staili inatia aibu! wala haivutii ni udhalilishaji... ukikutana watu waliojipindia, wanayachomoa yote yanakaa nje ka mapapai ndo mkome tabia hii!
We lizzy unasema 2siangalie, feis anasema 2angalie chini. Sasa chini sketi fupi kuliko, halaf bado inampasuo najuu ndio balaa kabisa. bora wapi sasa
pole sana sasa ulikuwa unataka nini?