E elimsu Member Joined Aug 27, 2010 Posts 31 Reaction score 3 Mar 8, 2011 #1 hivi inakuaje gharama za mchezo na vitu vingine vizidi mgao wa wavujajasho huku wengine wakinemeka? inasikitisha sana, huuu ni uwizi wa mchana mchana
hivi inakuaje gharama za mchezo na vitu vingine vizidi mgao wa wavujajasho huku wengine wakinemeka? inasikitisha sana, huuu ni uwizi wa mchana mchana
Kurunzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 9,753 Reaction score 10,747 Mar 8, 2011 #2 Wakiwa na viwanja vyao unyonyaji usingekuwepo lakini kwa kuwa vilabu vyetu vinaendeshwa na mafisadi vitabaki kunyonywa mpaka vikome. Ikiwa pato ni 240m, simba 51m na yanga 5ì kuna vat 48m bado kuna gharama za uwanja , kuandaa mchezo, posho, Tff .
Wakiwa na viwanja vyao unyonyaji usingekuwepo lakini kwa kuwa vilabu vyetu vinaendeshwa na mafisadi vitabaki kunyonywa mpaka vikome. Ikiwa pato ni 240m, simba 51m na yanga 5ì kuna vat 48m bado kuna gharama za uwanja , kuandaa mchezo, posho, Tff .