Kama umefuatilia taarifa ya mapato na matumizi ya Simba Ni vitu viwili tofauti Kati ya mapato ya club kuanzia udhamini mpaka vyanzo vingine vya mapato kweli itachukua muda kukua kisoka. Watasajiri wachezaji wazuri kweli Kama mapato ya timu yanafujwa? inakera Sana.