samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Ni ushauri na la kuangalia hili mfano Majiji yana viwanda vingi ,masoko makubwa ,maduka makubwa n.k n.k halafu halmashauri za jirani kushindwa hata kujiendesha kwa kukosa vyanzo vya mapato vya uhakika
kwanini asilimia inayopatikana kwenye majiji isigawanywe kwa halmashauri walau kuchangamsha hiyo miji na halamashauri na wananchi wakapata huduma ?
Nijuavyo majiji na manispaa zinapokea pia mazao,madini,biashara ,watu wengi toka huku huko vijijini
Aidha upanuzi wa halmashauri za jirani kama sehemu ya kupunguzia mlundikano wa majiji ufanyike kuwe na mpango maalum na sio kila kiwanda kijengwe mijini tu, au baadhi ya miradi na ofisi zisogezwe pembezoni kwa kuikuza hizo halmashauri