Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano wako? Wengi tunapenda kuoa wanawake wenye kazi au wenye vipato, Je kwenye mahusiano yenu, wewe mwanaume unayatumiaje mafao/fedha zake, au fedha zake zimekusaidiaje katika kuimarisha uhusiano wenu?


 
Ogopa Mwanamke Mwenye Kipato chake wengi Dharau ndipo zinapoanzia na Usitegemee pesa ya Mwanamke. Wakizipataga Huwa Wanaanza Kuingia Mitandaoni kuangalia Mitindo na Mishoni ya kusuka na Kushona Nguo, Matumizi na Mambo ya Msingi utaambiwa wewe ndio Mwanaume
 
Kuna ukweli, inawezekana wapo wachache wanaofurahia mapato yao
 
Kuwa na kipato si shida. Shida akuzidi kipato. By any means mzidi kila kona. Otherwise is date nae kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…