Mapato ya NMB yafikia Tsh. Trilioni 1.4 yavunja rekodi kuwa na wateja Milioni 7.1

Mabenki ya biashara Tanzania yameendelea kuchuma faida za mabilioni ya Shilingi na kuweka rekodi na Kuvunja Kila mwaka kutokana na Biashara Yao.

Babenki makubwa 2 yaani NMB na CRDB zimeendelea kuchuana Vikali kileleni huku NMB okiendeleza ubabe wake wa kuwa Benki inayopata faidia zaidi na CRDB ikisalia kuwa Benki kubwa zaidi Tanzania.

View: https://www.instagram.com/reel/C2uyP4WILCZ/?igsh=ODloMnJxOGR2MDd2
Credits zote ni Kwa sera nzuri za serikali ya awamu ya 6 Chini ya Dr Samia zimepelekea kuimarika Kwa shughuli za Uchumi na kupungua Kwa mikopo chechefu hivyo kuongezeka Kwa Kasi kubwa ya ukopaji na Hatimaye faida Kwa Mabenki.

My Take
Serikali ipunguze Riba.
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…