Mapato ya timu zetu yanatokana na watu kuja uwanjan.

Rwahiyorogo

Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
64
Reaction score
59
Kitendo cha timu za simba na yanga kuchezeshwa usiku hasa katikati ya wiki zinazikoseja timu pesa kupitia washabiki kuja uwanja. Hizi timu bila pesa ya getini mapato yanapungua.

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Sasa si kati kati ya week ndo inakuwa hvyo wengine wanakuwa bado hawajotaka kibaruani lengo ni watu wapate nafasi ya kuangalia mechi ndo maana kati kati ya week wanaweka saa moja na weekend wanaweka saa 10 jioni.
 
Watanzania wengi wanapenda simba na yanga wala hawapendi mpira na hawajui mpira

Tanzania ni mechi ya simba na yanga tu inayojaza uwanja

Hata mpira ungechezwa weekend yanga/simba vs timu nyingine watu hawazidi alfu ishurini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…