Mapato ya TRA kila wilaya - Mchango wa wilaya zenye wafanyabiashara wakubwa

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,261
Mimi sio mwanauchumi wala mtaalamu wa mambo ya biashara. Naongea kama layman mmoja. Kwa muda mrefu nimekuwa nikipata taarifa zisizo rasmi kwamba wilaya mbili zinazoongoza kwa kuchangia mapato ya taifa ni Temeke na Mufindi. Temeke ikiwa ya kwanza, Mufindi ikiwa ya pili. Sasa najiuliza kulikoni mabilionea wa Arusha. Wajanja wa Sinza. Vijana wa Ilala. Kulikoni jamani. Mbona hamuchangii vizuri pato la taifa. Hizo Range Rover, Mercedes Benz, na gari nyingine ambazo ni new models mbona haziendani na pato mnalochangia?
 
Ozzie nashukuru umekiri kuwa wewesi mtaalamu wa biashara,kodi au uchumi.........
ni kweli taarifa zako si rasmi ni uzushi tu wa mitaani!!!!!!!!! kuhusu hilo la makazi wala lisikusumbue kichwa kwani mtu anaweza akaishi sinza wakati biashara zake zipo temeke
ngoja nikupe taarifa sahii
ilala ndio wilaya inayoongoza na kuendelea kuongoza,kwa takwimu nusu mwaka wa fedha 2013/2014

ilala 284,964.6 million
kinondoni 173,148.5 million
temeke 71,667.1 million
iringa+njombe (mafinga ndani) 15,961 millioni
 
Last edited by a moderator:
Nahisi ntachukua muda mrefu kukuelewa kijana..................ngoja nisepe kimpango wangu kwanza
 
Mimi sio mwanauchumi wala mtaalamu wa mambo ya biashara. Naongea kama layman mmoja. Kwa muda mrefu nimekuwa nikipata taarifa zisizo rasmi kwamba wilaya mbili zinazoongoza kwa kuchangia mapato ya taifa ni Temeke na Mufindi. Temeke ikiwa ya kwanza, Mufindi ikiwa ya pili. Sasa najiuliza kulikoni mabilionea wa Arusha. Wajanja wa Sinza. Vijana wa Ilala. Kulikoni jamani. Mbona hamuchangii vizuri pato la taifa. Hizo Range Rover, Mercedes Benz, na gari nyingine ambazo ni new models mbona haziendani na pato mnalochangia?
Temeke ni BANDARI,mufindi ni MBAO na CHAI
 
Back
Top Bottom