Ozzie nashukuru umekiri kuwa wewesi mtaalamu wa biashara,kodi au uchumi.........Mimi sio mwanauchumi wala mtaalamu wa mambo ya biashara. Naongea kama layman mmoja. Kwa muda mrefu nimekuwa nikipata taarifa zisizo rasmi kwamba wilaya mbili zinazoongoza kwa kuchangia mapato ya taifa ni Temeke na Mufindi. Temeke ikiwa ya kwanza, Mufindi ikiwa ya pili. Sasa najiuliza kulikoni mabilionea wa Arusha. Wajanja wa Sinza. Vijana wa Ilala. Kulikoni jamani. Mbona hamuchangii vizuri pato la taifa. Hizo Range Rover, Mercedes Benz, na gari nyingine ambazo ni new models mbona haziendani na pato mnalochangia?
Temeke ni BANDARI,mufindi ni MBAO na CHAIMimi sio mwanauchumi wala mtaalamu wa mambo ya biashara. Naongea kama layman mmoja. Kwa muda mrefu nimekuwa nikipata taarifa zisizo rasmi kwamba wilaya mbili zinazoongoza kwa kuchangia mapato ya taifa ni Temeke na Mufindi. Temeke ikiwa ya kwanza, Mufindi ikiwa ya pili. Sasa najiuliza kulikoni mabilionea wa Arusha. Wajanja wa Sinza. Vijana wa Ilala. Kulikoni jamani. Mbona hamuchangii vizuri pato la taifa. Hizo Range Rover, Mercedes Benz, na gari nyingine ambazo ni new models mbona haziendani na pato mnalochangia?
story za vijiweniTemeke ni BANDARI,mufindi ni MBAO na CHAI