Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Tanzania inazidi kuongeza gap kubwa kwenye utalii. wakati wenzetu wanazidi kusinyaa sisi tunaendelea kupanuka.
Tanzania imefanikiwa kuongeza idadi ya watalii kutoka 1,284,279 mwaka 2016 hadi kufikia 1,327,143 mwaka 2017 hali iliyopelekea kuongezeka kwa mapato ya Serikali. DAILY NEWS DIGITAL ni Mali ya TANZANIA STANDARD NEWSPAPERS (TSN)LTD