Kama mmefikisha hata $1bn Hauta kuwa Nyang'au kuanzia sasa2.2billion - 2.1billion= ?. Mleta mada, kazi kwako. Hongera zenu lakini.
Nilizaliwa nyang'au na wewe ukazaliwa mrundi, itabaki hivo milele na milele, Amina. πππKama mmefikisha hata $1bn Hauta kuwa Nyang'au kuanzia sasa
thanks bro We are leading East and central Africa by nowHongera. Mimi sitaogopa kuwapa hongera. East Africa's biggest tourism market in terms of revenue but not number of tourists
Hahaha Onyesha $1bn kwa KenyaNilizaliwa nyang'au na wewe ukazaliwa mrundi, itabakia hivo milele na milele, Amina. πππ
Data za uongo hiziTanzania inazidi kuongeza gap kubwa kwenye utalii. wakati wenzetu wanazidi kusinyaa sisi tunaendelea kupanuka.
Tanzania imefanikiwa kuongeza idadi ya watalii kutoka 1,284,279 mwaka 2016 hadi kufikia 1,327,143 mwaka 2017 hali iliyopelekea kuongezeka kwa mapato ya Serikali. DAILY NEWS DIGITAL ni Mali ya TANZANIA STANDARD NEWSPAPERS (TSN)LTD
Tupe za ukweliData za uongo hizi
japo sio mawe!Aisee! Ngumu kumeza