Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hata wizara ni haziingiliani.Je mapato yatokanayo na utalii ZNZ yanagawanywa sawa pande zote za Muungano?
"Vya Tanzania bara ni vya wote wawili, na vya Zanzibar ni kwa ajili ya Wazanzibari"Je mapato yatokanayo na utalii ZNZ yanagawanywa sawa pande zote za Muungano?
Hehehe.....mungano utavunjika siku hiyo hiyoJe mapato yatokanayo na utalii ZNZ yanagawanywa sawa pande zote za Muungano?
Hakuna senti hata moja kutoka Zanzibar kuja Bara, yote ya Zanzibar hubaki Zanzibar, lakini kila pato la Bara huenda kwenye Muungano. Nafikiri ndio Wanzibari mnapopapenda hapo au sivyo?Je mapato yatokanayo na utalii ZNZ yanagawanywa sawa pande zote za Muungano?