Mapato ya Utalii Zanzibar ni ya Muungano?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Je mapato yatokanayo na utalii ZNZ yanagawanywa sawa pande zote za Muungano?
 
Mapato ya bara yanayoitwa ya Muungano ni ya Zanzibar??
 
Muungano ujadiliwe upya
 
Je mapato yatokanayo na utalii ZNZ yanagawanywa sawa pande zote za Muungano?
Hakuna senti hata moja kutoka Zanzibar kuja Bara, yote ya Zanzibar hubaki Zanzibar, lakini kila pato la Bara huenda kwenye Muungano. Nafikiri ndio Wanzibari mnapopapenda hapo au sivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…