Kwani haiwezekani?! Nakumbuka miaka michache iliyopita uchumi wa California ulikuwa ni sawa na uchumi wa Ufaransa huku uchumi wa Los Angeles peke yake, ukiwiana na uchumi wa nchi mzima ya Malaysia! Na kwa sasa, nadhani California imeshaiacha Ufaransa including many other developed European countries.Mkuu huyo akili yake ni nyepesi sana. Hivi kweli Unaweza sema uchumi wa mikoa Kama Dar na Mwanza upande kwa asilimia 7 Kama uchumi wa Rwanda kisa idadi ya watu na ukubwa vinakaribiana kulingana?
Sasa kama mshindi wa kiti cha urais anapatikana kwa kura chini ya 300000 huo si sawa na mkoa mmoja wa bara?Taarifa yako inaukweli sehemu ya Zanzibar kukusanya Tsh2T+ kwa mwaka basi. Ila kwenye kulinganisha mikoa ya Tz bara na Zanzibar hapo taarifa imejaa unafiki na upotoshaji. Huwezi ukasema mkoa kama wa kigoma,Geita,Simiyu na n.k idadi ya watu kila mkoa heti ni sawa na idadi ya watu wote Zanzibar.
Harafu kitu kingine umeshindwa kutambua vitu vinavyochangia mapato kuongezeka. Nikutoe tu ushamba kuwa idadi ya watu haichangii Sana kuongezeka kwa mapato Bali vyanzo vya uchumi ndo vinafanya uchumi kuongezeka.
Taarifa yako Ni nyepesi Sana haina hoja za kiuchumi kabisaa.
Nimenukuu hotuba ya Rais Dr. Mohamed Shein, wakati wa sherehe za Mapinduzi Matukufu, tarehe 12.1.2020
Nakubaliana na wewe juu ya kutaja vyanzo vya mapato.Taarifa yako inaukweli sehemu ya Zanzibar kukusanya Tsh2T+ kwa mwaka basi. Ila kwenye kulinganisha mikoa ya Tz bara na Zanzibar hapo taarifa imejaa unafiki na upotoshaji. Huwezi ukasema mkoa kama wa kigoma,Geita,Simiyu na n.k idadi ya watu kila mkoa heti ni sawa na idadi ya watu wote Zanzibar.
Harafu kitu kingine umeshindwa kutambua vitu vinavyochangia mapato kuongezeka. Nikutoe tu ushamba kuwa idadi ya watu haichangii Sana kuongezeka kwa mapato Bali vyanzo vya uchumi ndo vinafanya uchumi kuongezeka.
Taarifa yako Ni nyepesi Sana haina hoja za kiuchumi kabisaa.
Lengo letu kama ni kujifunza kutoka Zanzibar, naamini yapo yenye manufaa.Mkuu huyo akili yake ni nyepesi sana. Hivi kweli Unaweza sema uchumi wa mikoa Kama Dar na Mwanza upande kwa asilimia 7 Kama uchumi wa Rwanda kisa idadi ya watu na ukubwa vinakaribiana kulingana?
Sina hakika na bandiko lako, kama ni sifa hasi au chanya.Mapato ya nchi unataka kuyahamishia mikoani? Akili yako na ya mzee wenu zinafanana.
Binafsi, naamini lilikuwa jambo la aibu kulitangaza sana deni la Serikali ya Zanzibar kudaiwa na Tanesco.Sawa haina shida. Mapato ni Mali ya muungano.
Vipi deni letu la tanesco ameshalipa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi, naamini lilikuwa jambo la aibu kulitangaza sana deni la Serikali ya Zanzibar kudaiwa na Tanesco.Sawa haina shida. Mapato ni Mali ya muungano.
Vipi deni letu la tanesco ameshalipa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaheshimu sana elimu pamoja na Wasomi.
Bandiko lako lina hoja nzito na za msingi.Mkuu unaweza kuwa na hoja lakini zanzibar ina sovereignty yake tofauti na mikoa ya Tanzania bara hasa halmashauri. Mikoa kama Geita ikivuna rasilimali zote zinaenda dodoma kwanza ndio zinapangiwa kazi ya kufanya ila zanzibar licha ya udogo wa eneo au idadi sawa na mikoa yetu ila inajitegemea kiutawala hivyo ni rahisi kuretain mapato yake unayoona makubwa.
Mfano Halmashauri za huku bara ziliporwa kodi ya majengo ikaenda serikali kuu..... Gesi ya mtwara ni ya serikali sio halmashauri ya Mtwara n.k. kule kigoma ujiji halmashauri ilitaka kuingia MoU na mashirika ya nje kuwekeza miradi mbalimbali ya maendeleo ila yalitaka wasaini OGI ambayo serikali ya Tanzania ilijitoa. Mwisho wa siku mradi ukafa ila ingekua zanzibar jambo lingeamuliwa mara moja na baraza la wawakilishi na wangevuna hiyo miradi kuboost mapato ya ndani ila bara mpaka dodoma ndio iamue kwa niaba ya Halmashauri.
Suluhisho ili tuwe sawa ungesema sera ya ugatuzi wa majimbo Mtwara ijikamulie gesi yake na korosho.... Geita wavune dhahabu zao etc trust me kuna mikoa ingekua na mapato ya ndani makubwa kuliko hata hyo zanzibar kwa mbali sana ila ingekua na cost zake kwa mikoa ambayo bado haijawa na rasilimali za kutosha.