mapato yanga vs zamaleki milioni 280!!tu..

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,566
Reaction score
13,770
mapato ya mechi ya yanga na zamaleki, yametangazwa kuni ni milion 280!!huku wadau wengi wakipata wasiwasi na kiasi hicho kutokana na kampuni ya prime time promotion kusimamia pambano hilo na kujitahidi kuziba mianya mingi,ya hujuma ya mapato,na tiketi ziliuzwa sana hadi kuisha hususani zile za buku 3,na 7,na uwanja zaidi ya robo 3 ulijaa!inakuwaje ipatikane kiasi kidogo hivyo,na yanga wanatakiwa kulipa deni lao la milion 60,walilokopa toka prime time,ndio hesabu iende sawa,hapo patam.hawa prime time,hata wasingesimamia kiasi hicho kingeweza patikana,mbwembwe nyingi mashine za kukagulia tiketi kumbe c lolote,walileta usumbufu 2,na kama wangeendelea kutumia mashine zao,wa2 wangekuta mechi iko ktk dk 4 za nyongeza,mechi kumalizika.
 
hii pia imekuwa kali ya kufungulia mwaka.
 
Wizi mtupu ktk idad ya watu 57610 maana yake kila mtu alilipa elfu 5,kwa umati ule ilitakiwa iwe hata mil 400.ndio maana hatuna viwanja pesa za maendeleo zote wanakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…