Mapato yote ya GoK ni 1.6trl, bajeti ni 3trl, budget deficit ni 1.4trl (48%). Uchumi wa Kenya umekufa kabisa

Wewe una matatizo sio bure, total revenue collection ya nchi yenu ni 1.6trl, na bajeti yenu ni 3trl, deficit ni 1.4trl, sasa kitu gani unapinga?. Waziri wenu wa fedha amekiri kwamba "Options" zilizopo ni kuongeza kodi au kukopa ili kupata hiyo 1.4trl (48%) ya bajeti, au hata waziri wenu wa Fedha pia anatoa maoni yake hajui kitu ila wewe ndio unajua kila kitu?.

Onyesha ni mradi gani mkubwa unaotekelezwa na serikali ya Kenya bila kuomba mkopo wenye thamani ya $1B?, wacha ubishi wa kitoto, Hakuna hata kiongozi mmoja Kenya anayepinga kwamba uchumi wa Kenya upo katika hali mbaya, viongozi wote na wasomi wote wanakubali kwamba hali ni mbaya isipokua wewe

Kenya madeni ni 70% YA GDP wakati kiwango cha juu kinachopendekezwa na IMF kwa nchi zinazoendelea ni 40%, Tanzania tupo 34%, je hiyo pia ni propaganda ya CCM?,

Tanzania tunajenga bwawa kubwa la umeme kwa thamani ya $3B kwa pesa yetu bila mkopo, wewe onyesha project yoyote yenye thamani inayozidi $500M anbayo serikali yenu inajenga kwa pesa yake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha, sisi tunapanga matumizi kulingana na uwezo wetu, ninyi mnapanga matumizi makubwa wakati hamna uwezo huo mnategemea wazungu, stupid [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Time will tell, hata huu uhuru wa bendera walionao watapokonywa litakuwa koloni kamili.
 
The facts remains: Tz budget Tsh34.2T Annual revenue Tsh14.6T., you are worse than Kenya. Revenue ni less than half of your needs!!, How can a $62-64B economy chun outTsh14.6T??[emoji848][emoji848] Uchumi wa kwenye makaratasi ni upi?., Facts exposes you badly.
 
..and remember kwa hiyo budget tayari loan repayment iko factored in ndio maana it is Ksh3T, na revenue ni Ksh1.6T., ama haujasoma details??, Sasa nashangaa na ya kwenyu, revenue ni hafifu, mahitaji ni mengi, na bado mtahitaji ku service loan na kujenga nchi kwa "pesa za ndani"., do the maths, TZ is weak, kelele ndio mingi, white elephant projects zinawapa deception of perception mnadhani mko nafuu na juu ya Kenya in economic output[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Nyie si mnauchumi mkubwa kuliko tz? Subirini dawa iingie
 
So we have got other sectors
 
My argument our economy in its bad state betters yours in its healthy state! Yani sisi ni wagonjwa hali maututi na bado we manage to chun out ksh1.6T (Tsh33.7T) na nyie mnao piga kifua mko sawa mnatoa way below your budget!., Unaona tofauti wewe?., tunalia na bado tunawanyorosha, what if tukisimama?., ina maana mnabebwa ujinga na CCM wanawalisha propaganda hamuwezi uliza maswali, mgonjwa anafanya vizuri kuliko mwenye afya! SUCH AN OXYMORON! aibu ya mwaka!
 
Tumia akili mnaweza kufinance budget ya Tz alafu nyie yenu nani atawalipia?mlitakiwa kuandaa budget ya level yenu sio Huo utumbo mnaoufanya lakini endeleeni tutakutana.
Nyinyi mliandaa ya uwezo wenu? Unafaa kujiuliza hili swali mara mia kabla ya kutaja Kenya kinywani mwako. Tanzania's budget is Tsh 34.2T wakati your annual revenue is Tsh 14.6T. Huoni kwamba mliandaa bajeti ambayo ni zaidi ya mara mbili ya uwezo wenu? Nyani kweli haoni kundule
 
Iyo national revenue umeitoa wap?
Unaupimbi mwingi mno

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Iyo national revenue umeitoa wap?
Unaupimbi mwingi mno View attachment 1688784

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo ndio naita propaganda., TRA's report iliweka wazi , [emoji1787][emoji1787]., bro relax tu., check out TRA's report wacha mbwembwe za wanasiasa na CCM machinery, those are the ones screwing your country in a smart way na hamuoni, wako na ugonjwa same duniani nzima!., they like to appear good to the electorates for political miliage., check their lifestyle bro., Tz is another scam.
 
Domestic revenue maana yake ni nn?ni kodi Za TRA pekee yake? Tuende taratibu
 
 
 
Habari ya kwamba Kenya imekua nchi ya kwanza Africa kuingia katika "recession" umeipata?, punguza ubishi usiokua na maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Uchumi wa kwenye makaratasi,na migomo kibao ya doctors na nurses.safar hii mpaka mtatubu tu kwa unafiki wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…