Mapazia ya kushona

Mapazia ya kushona

yahoocom

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
331
Reaction score
379
Nahitaj kupata mtu anaeshona mapazia ya kisasa na anapatikana maeneo gani Dar??
Kwa wanaofaham naomba wanijulishe.
 
Hata mimi nimekuja nduki kutaka kuona huo uvumbuzi. " Malaria ya Kushona"
 
Nilidhani siku hizi malaria inatumwa kama radi Sumbawanga
 
Una akili sana ulivokosea makusudi mradi tuje nduki[emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Kidogo nianze kutafuta uzi nishone malaria.
 
Nenda kariako waulize WOP(WOISO ORIGINAL PRODUCT).
Nahitaj kupata mtu anaeshona mapazia ya kisasa na anapatikana maeneo gani Dar??
Kwa wanaofaham naomba wanijulishe.
 
Back
Top Bottom