Dennis002
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 149
- 52
Serikali kupitia wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi iko mbioni kuwafukuza kazi maafisa sita wa ngazi za juu wa tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU). Kutokana na uzembe uliofanyw kupeleka wanafunzi zaid ya 2600 katika vyuo vyenye changamoto ikiwemo za usajili ukosefu wa wahadhiri wenye vigezo,Akiyasema hayo Naibu katibu mkuu wa wizara ya Elimu Eng.Angelina E. Madete ofisini kwake Mapema Leo amevitaja vyuo hivyo ambavyo ni RUCO,university of Bagamoyo,kampala international university na st Joseph university.
Akijibu swali la mwandishi Mh. Naibu katibu mkuu alisema hamna uhusiano wowote uliopo kati ya vyuo hivyo na Serikali kama ilivyo tafsiri ya wengi na Serikali inakiri Kufanya makosa kupeleka wanafunzi katika vyuo hivyo.Aidha Serikali imeiagiza tume ya vyuo vikuu (TCU) .kuviondoa vyuo hivyo katika orodha ya vyuo vinavyotambulika mpaka pale uchunguz utakapo kamilika.