Mapema Leo hii

Dennis002

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
149
Reaction score
52
Serikali kupitia wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi iko mbioni kuwafukuza kazi maafisa sita wa ngazi za juu wa tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU). Kutokana na uzembe uliofanyw kupeleka wanafunzi zaid ya 2600 katika vyuo vyenye changamoto ikiwemo za usajili ukosefu wa wahadhiri wenye vigezo,Akiyasema hayo Naibu katibu mkuu wa wizara ya Elimu Eng.Angelina E. Madete ofisini kwake Mapema Leo amevitaja vyuo hivyo ambavyo ni RUCO,university of Bagamoyo,kampala international university na st Joseph university.
Akijibu swali la mwandishi Mh. Naibu katibu mkuu alisema hamna uhusiano wowote uliopo kati ya vyuo hivyo na Serikali kama ilivyo tafsiri ya wengi na Serikali inakiri Kufanya makosa kupeleka wanafunzi katika vyuo hivyo.Aidha Serikali imeiagiza tume ya vyuo vikuu (TCU) .kuviondoa vyuo hivyo katika orodha ya vyuo vinavyotambulika mpaka pale uchunguz utakapo kamilika.
 
Nahao wanao tafuta ajira kutoka vyuo hivyo itakuwaje?
 
source please!!!!!
 
yaani wafute usajili alafu hao wanafunzi waende wapi?
 
Afu wakuu msiwe wavivu kufikr kwan serikal halitambui hilo unaulizaj kuwa wapelekwe wap???
 
unaumwa wewe..:boxing: kama ile sheria ya uhalifu mtandao ingeshaanza kutekelezwa ingekuanzia wewe. unapost kitu usichokuwa na uhakika nacho. ukiulizwa uhalali wa hiyo habari unaweza kuitolea majibu? acha kukurupuka dogo..tafiti kwanza chanzo cha habari kisha ndo upost humu vinginevo uache UMAANDAZI:becky::becky::becky:
 
cha msingi tusimbishie kwanza ila atoe source of information ila ka amelala ameamka kaamua kuandika na ndo tabia yake bas ile cyber crimes kuna siku itamkumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…