Mapendekezo: Ajira kwenye Utumishi wa Umma iwe kwa MKATABA

Ni kuwaajibisha watendaji wazembe kuliko kulindana...

Ila alishasema yeye hatofukuza mtu bali atakuonya tu...
 
Haitawezekana kwa sababu wanaotoa maamuzi ni wanufaika
 
Unafikiri kila mtumishi anapenda kuendelewa shikiliwa huku kwenye umasikini.!? Serikali ndo inawang'ang'ania.

Warejeshe mafao ya kujitoa waone.
 
pia itasaidia kuondoa tatizo la ajira nchini, mama yetu samia lichukue hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…